disenchant

vt 1 zingua, opoa uchawi. 2 fumbuliwa macho, poteza imani he is ~ed with the government amepoteza imani na serikali. disenchantment n kupoteza imani.