discuss

n kisahani vt ~ (with) jadili, zungumza. discussable adj. discussion n majadiliano, mjadala, mazungumzo. it is under ~ion imo katika kujadiliwa, inajadiliwa.