discursive

adj 1 -enye kutangatanga (kimatendo, mawazo); -sio na mpango; -sio na msimamo. 2 -enye kufuata mantiki au hoja maalum. discursively adv. discursiveness n.