discreet

adj 1 -makinifu. 2 -a tahadhari kubwa (kabla ya kutenda), angalifu, -enye hadhari; -teuzi maneno. discreetly adv. discretion n 1 busara, akili, makini, hadhari he has reached years of discretion amefikia utu uzima, amekomaa. Discretion is the better part of valour (prov) busara ni bora kuliko ushujaa. 2 hiari at your own discretion kwa hiari yako. discretioary adj.