discover

vt gundua, tambua; funua, fichua. discoverer n. discovery n 1 ugunduzi, ugunduaji. 2 jambo jipya, geni, lisilojulikana kabla; ajabu; kitu kilichogunduliwa. 3 (legal) order for ~y amri ya kudhihirisha.