disc

(also disk) n kisahani, rekodi. ~ brake n breki kisahani. ~ jockey n diskojoka. 2 (anat.) gegedu. 3 diski. floppy ~ n diski laini (inayohamishika). hard ~ n diski ngumu (isiyohamishika). ~ drive n kiendesha diski.