disarm

vt,vi 1 nyang'anya silaha. 2 (of a country) punguza/acha kutumia silaha, punguza majeshi. 3 poza, vunja nguvu; zima. disarmament n upunguzaji wa silaha za vita.