disappoint

vt 1 -toridhisha, sikitisha. 2 vunja matumaini/matarajio (yanayotegemewa kutoka kwako), batilisha; (fig) angusha. disappointed adj. disappointed (in/at) (with) sikitishwa kwa jambo (na mtu). disappointing adj. disappointedly adv. disappointment n 1 masikitiko, maudhi. 2 hali inayovunja matumaini. 3 kitu/jambo/mtu anayevunja matumaini ya mwingine.