disadvantage

n 1 upungufu, kasoro, hitilafu. 2 hali ngumu, kizuizi (katika kufanikisha jambo) at a ~ katika hali ngumu. ~ ous adj. ~ ous (to) inayoleta madhara. disadvantageously adv.