direct

direct

1 adj 1 nyoofu, -a moja kwa moja a ~ hit kupiga shabaha barabara ~ road njia ya moja kwa moja. 2 -a kweli, -siotetereka. 3 -a wazi, -aminifu, bila kuficha he gave a ~ answer alijibu waziwazi. 4 (various uses) ~ action n migomo. ~ speech n kauli halisi. ~ tax n kodi ya dhahiri. ~ object n yambwa tendwa. ~current n mkondo fulizo adv moja kwa moja the child went ~ to its mother mtoto alikwenda moja kwa moja kwa mama yake. directness n.

direct

2 vt,vi ~ (to) 1 elekeza, ongoza, onyesha. 2 andika, peleka. 3 ~ direful something to somebody elekeza, lenga, kusudia. 4 simamia, ongoza, dhibiti. 5 ~ to/ towards geuza, badili; amuru, simamia, agiza. direction n 1 (course) mwelekeo, uelekeo; jiha in the ~ion of upande wa, kuelekea. in all ~ions kila upande. 2 majira. have a good/poor sense of ~ion weza/-toweza kutambua vizuri majira au uelekeo. 3 (often pl) maelekezo, maagizo. 4 (pl) anwani (ya barua, kifurushi). 5 uongozi, uratibu, usimamizi. directional adj. directive n agizo, maelekezo. directly adv 1 moja kwa moja. 2 (at once) mara, mara moja, bila kuchelewa. 3 (plainly) wazi, bila kuficha. director n mkurugenzi. managing ~or n mkurugenzi mwendeshaji. Board of ~ors n Bodi ya Wakurugenzi. film ~or n mwendeshaji filamu. directorship n nafasi ya/kipindi cha ukurugenzi. directorate n 1 kurugenzi. 2 bodi ya wakurugenzi. directory n 1 kitabu chenye orodha ya majina, anwani, kazi na habari nyinginezo za watu (wa mtaa, mji n.k.). a telephone ~ory n kitabu cha orodha ya simu.