dinner

n 1 mlo mkuu wa siku/kutwa; dhifa. 2 chakula rasmi kinacho-andaliwa kwa ajili ya mgeni. ~-jacket n koti jeusi linalovaliwa na wanaume kwenye sherehe rasmi jioni. ~-service huduma za mlo mkuu. ~-set n seti ya vyombo vya chakula.