vt,vi (formal) 1 -la chakula kikuucha siku. ~ out -la chakula hotelini au kwa marafiki. 2 karibisha mtu kwa chakula kikuu cha siku; kirimu. dining carn behewa la kulia chakula. dining roomn chumba cha kulia. dining tablen meza ya chakula. dinern 1 mla chakula (kikuu hasa cha kutwa). 2 behewa la kulia chakula; (US) mgahawa wenye umbo la behewa la kulia chakula.