diminution

n 1 upunguaji; mpunguo, kipunguo. 2 mpunguzo. diminutive adj 1 -dogo sana. 2 (gram, of a suffix) -enye kuonyesha udogo n neno lililoundwa kwa kuongezwa kiambishi cha kuonyesha udogo.