dim

vt,vi tia giza; fifiliza; punguza mwanga adj 1 -a gizagiza. 2 (indistinct) sio dhahiri, -sioonekana vizuri, -liofifia; -siosikilika vyema. 3 (of eyes, eyesight) -sioweza kuona vizuri, -iliyoingia giza. take a ~ view of (colloq) angalia vitu kwa upande wa ubaya; -toridhika na jambo; angalia vibaya, -topenda. 4 (colloq, of persons) -jinga, -sio na akili; -sio na maarifa. dimly adv. dimness n. ~-wit n mjinga.