dilettante

(pl dilettanti) n ajifunzaye kitu kijuujuu; mbabaishaji; mpenda sanaa wa ridhaa adj -a kijuujuu; -a ridhaa. dilettantism n.