digit

n 1 kidole. 2 tarakimu. digital adj -a kidole, -a tarakimu. ~al clock/watch n saa isiyokuwa na mishale, saa ya tarakimu. ~al computer n kompyuta n ionyeshayo mahesabu kwa tarakimu.