digest
digest
1 vt,vi 1 (of food) meng'enya; meng'enyuka. 2 (consider) fikiria, waza. digestible adj. digestibility n. digestion n mmeng'enyo wa chakula. digestive adj -a mmeng'enyo wa chakula. ~ive system n mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.digest
2 n muhtasari, ufupisho ~ of cases muhtasari wa kesi.