diffuse

vt,vi 1 eneza, tawanya. 2 enea,vavagaa, tawanyika. 3 (of gases and liquids) changamana polepole. diffusible; diffusive adj. diffusiveness n ueneaji, usambaaji. diffusion n mweneo, msambao. ~adj 1 -a kutumia maneno mengi zaidi. 2 -a kutawanyika pande zote. adv ~ly ~ ness n uenevu.