diet

2 n 1 chakula, mlo. balanced ~ n mlo kamili. 2 utaratibu maalumu wa chakula (agh. kwa mtu anayetaka kupunguza uzito/unene). dietary adj 1 -enye kuhusu chakula. 2 -a kuhusu mwiko, mzio, ugunga. dietetics n ugunga, elimu-lishe. dietician n mgunga, mwanalishe vt gunga, kula kwa kufuata maelekezo, taratibu na miko iliyowekwa.