dictionary

n kamusi: kitabu cha orodha ya maneno yaliyopangwa kwa kufuata utaratibu maalumu au kwa kufuata alfabeti pamoja na maana zake.