dictate

vt ~ (to) 1 (read aloud) semaau soma kwa sauti ili mwingine aandike yaliyosemwa, toa imla. 2 toa masharti. 3 amuru (declare) I wont' be ~d to sitaamrishwa n (pl) mwongozo: kanuni/amri zinazomwo-ngoza mtu kutenda jambo. dictation n 1 maamuru. 2 imla. 3 (orders) amri nzito; maonyo makali I will not submit to dictation sikubali kuamrishwa. dictator n dikteta: mtawala wa mabavu (hasa aliyejitwalia madaraka kwa nguvu). dictatorial adj. dictatorship n.