dickey

(also dicky) n 1 ~ bird n (neno watumialo watoto) ndege. 2 ~ seat n kiti cha ziada cha nyuma cha kukunja katika gari la viti viwili. 3 sehemu ya shati ya mbele iliyogeuzwa.