dice

n (pl) (sing formal) die (colloq dice) dadu. The die is cast uamuzi umekwishafanywa, mambo yameiva. (sl) no ~ haifai kitu! vt,vi 1 cheza dadu; cheza kamari, tia mirabumirabu. ~ box n kikopo au kisanduku cha kuchezea dadu. ~ with death (colloq) hatarisha maisha. 2 kata katika michemraba midogo midogo. dicey adj (colloq) -a mashaka; -a hatari.