dibber

also dibble n muo, (kijiti cha kuchimba makoongo ya kupandia mbegu). dibble vt 1 piga koongo kupandia. 2 panda mbegu kama kwamba umetumia koongo.