diaspora

n 1 the Diaspora n kutawanyika kwa Wayahudi miongoni mwa watu wa mataifa. 2 upatiaji makazi kando ya Palestina kwa Wayahudi waliosambaa; makazi ya Wayahudi hao. The Black ~ n Waafrika weusi popote walipo duniani (kutokana na kutawanyika kwao).