diaphragm

n 1 kiwambo (cha moyo, sikio n.k.); kitangaa. 2 kiwambo cha ngoma (simu n.k.). 3 kizuia mimba: chombo cha mpira kinachowekwa ukeni kuzuia mimba. 4 (photography) mboni mwanga. ~etic adj.