diaper

n 1 kitambaa chororo au cha pamba kitumikacho katika kutengeneza vitambaa vya meza na taulo. 2 nepi. 3 darizi ya almasi; nakshi vt nakshi, tarizi.