diamond

n 1 almasi; (fig) rough ~ n mtu anayeonekana mkatili lakini ana moyo mzuri. 2 ~ cut n chombo (chenye ncha ya almasi) cha kukatia kioo. 3 umbo la almasi (of playing cards) uru. 4 (baseball) kitovu cha uwanja wa besiboli. 5 diamondback n nondo; (US ) nyoka mwenye madoa ya almasi. ~drill n kekee ya almasi. ~-field n mgodi wa almasi. ~ wedding n ndoa ya miaka sitini. ~point n chombo chenye ncha ya almasi agh. hutumiwa kuchimbulia vitu; makutano ya reli.