diameter

n kipenyo. diametrical adj 1 -enye kupingana kabisa; -a kinyume kabisa be in diametrical opposition to something kuwa na msimamo tofauti kabisa. 2 -a/-enye kuhusu/-lio katika kipenyo. diametrically adv.