dialysis

n (chem) 1 dialisisi: utenganishaji wa koloidi kutoka katika kitu kilichomo kwenye mmunyo na kukiacha kipenye katika kiwambo penyu. 2 usafishaji damu kwa mashine ya figo.