dialogue

n 1 mazungumzo (agh. bainaya pande mbili/watu wawili). 2 maandiko (yaliyotungwa kama kwamba watu wanasemezana). 3 mabadilishano ya mawazo.