dialectic(s)

n upembuzi: kuhakiki ukweli wa nadharia au wazo kwa mjadala wa kimantiki. ~al adj 1 -a kipembuzi. 2 ~al method mbinu -pembuzi. ~al meterialism n uyakinifu pembuzi. ~ian n mpembuzi.