dial

n 1 uso wa saa; diski yenye namba. 2 bamba linaloonyesha vipimo agh. kwa kutumia mkono. 3 kizungusho (kitu kinachozungushwa kupata namba, mita fulani k.m. ya redio). 4 chombo cha simu chenye nambari juu yake vt piga simu ~ a number piga namba: zungusha namba za simu (ili kupata namba fulani). ~ing code n namba ya kupiga. ~ tone n mlio wa kupiga.