diagnose
vt tambua/baini ugonjwa/matatizo n.k. (kwa kuangalia dalili zilizopo), zuza. diagnosis n utambuzi/ubainishaji wa ugonjwa. diagnostic adj -a kuchunguza na kubainisha ugonjwa, -a uaguzi. diagnostician n. diagnostics n elimu ya uchunguzi wa aina na sababu za ugonjwa.