dexterity

n 1 ustadi; ubingwa; umahiri; wepesi (aghalabu wa kutumia mikono au mwili). 2 wepesi wa akili (katika kujenga hoja au kuelewa jambo). dexterous adj.