devote
vt tenga (k.v. muda) kwa madhumuni maalumu; toa. ~ oneself/something to jifunga/ jizatiti/jitolea kufanya kitu fulani. devoted adj 1 -enye bidii, -a kushika kazi kwa moyo. 2 -aminifu. 3 -a kupenda sana, shabiki; -a kujisabilia. be ~d to work -wa na moyo katika kazi. ~d to good works -a kujitoa kwa mambo mema/fadhila. devotee n 1 (rel) ~e (of) mfuasi wa dini (agh. mtawa, sufii, walii). 2 mpenzi wa michezo, shabiki n.k. devotion n 1 moyo wa ibada (wa dini, wa kumwabudu Mungu). 2 (earnestness) upendo, mapenzi mother's devotion to her children mapenzi ya mama kwa watoto wake. 3 bidii; moyo. 4 kujifunga. devotion to learning moyo wa kupenda kujifunza. 5 (pl) ibada, sala. devotional adj.