deviate

vi 1 chepuka. 2 kengeuka, potoka (katika maadili). 3 hitilafiana. deviation n mkengeuko, mchepuko. deviant n mwacha maadili/desturi. deviance n. deviationist n mkengeuka, mtu anayekengeuka misingi ya kijamii au ya mfumo wa siasa uliopo. deviationism n.