determine
vt,vi 1 (limit, define) ukilia, amua. 2 ~ to do something; ~upon doing something kusudia, dhamiria. 3 tambulisha; tafuta; pata; bainisha. ~a number tambulisha namba. 4 (fix beforehand) weka/panga muda (miadi, tarehe). 5 (settle, decide) amua; nuia; fanya uamuzi, kata shauri. 6 ~ somebody to do something fanya, shurutisha, sababisha what ~d you to go to Morogoro kitu gani kilikufanya kwenda Morogoro. 7 pambanua ~ the meaning of a word pambanua maana ya neno. determinable adj. determinant n 1 kiukilia, kitu (mtu) kinachodhihirisha/tambulisha/ yakinisha/onyesha manuizi. 2 kiamuzi, kitu (mtu) kinachoamua /maliza/kata/shauri. determinate adj thabiti, imara; -dhahiri; -enye mipaka. determination n 1 (resoluteness) uamuzi (mkata), azimio; kuamua; ushupavu. 2 (resolve) azma, kusudi, nia, dhamiri. 3 (of word etc) kupambanua. 4 (of number etc) utambuzi; upataji; utafutaji; kutambulisha. determiner n (gram) kibainishi.