detain

vt 1 kawisha, kawiza, chelewesha. 2 weka kizuizini, zuia. detainee n mtu aliye kizuizini. detention n 1 kizuizini put in detention weka kizuizini. preventive detention n uzuizi wa hadhari. 2 uzuiliwaji (agh mtoto shuleni kama adhabu).