detach

vt 1 tenga; bandua; kata. 2 peleka kikosi cha askari kutoka jeshi kubwa. detachable adj. detached adj 1 (of the mind, opinion) adilifu, siopendelea; -siyovutwa/ sioshawishiwa na watu wengine. 2 -sio na hisia, sioonyesha hisia; (aloof) -liokaa kando. 3 (house) nayokaa peke yake. detachment n 1 mtengo; mabanduko. 2 (of soldiers, war-ships) kikosi kinachotumika kwa kazi maalum. 3 (impartiality) uadilifu, hali/tabia ya kutokuvutwa na maneno au fikra za watu; (aloofness) upweke: kukaa kando.