desperate

adj 1 -enye kukata tamaa, -liokata tamaa, bila tumaini, tayari kufanya lolote (kutokana na kukata tamaa). 2 -siofuata sheria (kutokana na kukata tamaa/kutokuwa na matumaini tena) ~ criminal jahili. 3 -baya sana, -a hatari the country is in ~ state nchi iko katika hali mbaya sana. 4 -enye kuwa na mahitaji makubwa ya kitu. 5 -a mwisho kabisa a last ~ effort jaribio la mwisho kabisa. desperately adv. desperation n.