designate
vt 1 onyesha; dhihirisha ~boundaries onyesha mipaka. 2 (denote) taja; -wa dalili ya; -wa na maana fulani. 3 (appoint) teua (mtu) kwa kazi fulani he ~d me as his successor aliniteua niwe mrithi wake adj -teule. the bishop ~ n askofu mteule. designation n uteuzi (wa mtu kushika cheo fulani); jina, cheo; maelezo.