design

vt,vi 1 (draw) chora. 2 (of book etc) sanifu. 3 (of ideas) buni, panga. 4 (intend) kusudia, nuia, azimia n 1 mchoro, picha, kielelezo. 2 usanifu, ruwaza, nakshi. 3 mpango, plani, kielelezo. 4 kusudi, nia, madhumuni, maarubu. have ~s on/against -wa na kusudi baya/hila He has ~s on that young girl (colloq) anamtaka msichana yule. designer n 1 msanii mchoraji. 2 mbuni. designing adj -erevu, -janja; -a hila n uchoraji, ubunifu (wa mashine n.k.). designedly adv makusudi.