desert

desert

1 n jangwa adj kame; -siolimwa.. 2 -siokaliwa na watu. desertification n kugeuza jangwa (kwa kukata miti na kuharibu mazingira).

desert

2 vt,vi 1 acha; toka the streets were ~ed mitaa ilikuwa mitupu. a ~ed village n mahame. 2 telekeza he ~ed his wife alimtelekeza mkewe. 3 toka his courage ~ed him ujasiri wake ulimtoka. 4 (mil.) toroka. deserter n mtoro. desertion n.