describe

vt 1 eleza, toa wasifu. 2 chora, (hasa maumbo ya jiometri). 3 ~ as ita. description n 1 maelezo. 2 (colloq) jinsi, namna, aina. descriptive adj -a kueleza, -a kutoa wasifu.