dervish

n 1 darweshi: walii/muumini wa kiislamu anayeshikilia jadi na kutenda kufuatana na Hadithi bila kujali wakati wala mabadiliko; mwana tablighi. 2 mtu anayejisahau katika kucheza muziki.