derrick

n 1 ~-crane n winchi, slingi, manjanika: mashine ya kuinua vitu vizito (hasa katika meli). 2 fremu za mashine za kekee.