derm

adj -a ngozi. dermatitis n ugonjwa wa ngozi. dermatology n elimu ya ngozi (hasa magonjwa yake). dermatologist n daktari wa ngozi.