derive

vt,vi ~ (from) 1 zalisha, pata kutokana na, tokana na, chimbuka it ~d from asili/mwanzo/chimbuko lake ni. 2 (math) nyambua. 3 (gram) nyambulisha. derivation n 1 (origin) asili, mwanzo, chimbuko. 2 umbo na maana ya asili ya neno. 3 (gram) unyambulishaji: uundaji maneno mapya kutokana na viini au mashina. 4 (Math.) unyambuaji. derivative adj 1 zalika, kitokanacho; (derog) -sio asili, -sio na uasili, -enye kuigaiga a derivative poem shairi lisilo na uasili, shairi la kuigaiga. 2 (Math.) -nyambuo. 3 (gram) n kinyambuo: kitu kinachotokana na kitu kingine.