derelict

n 1 mali (meli, chombo) iliyotelekezwa/tupwa. 2 ombaomba, maskini, msikwao adj (esp. of ship) -lioachwa; -liotupwa ~ vessel chombo kihame ~ old house mahame. dereliction n hali ya kuachwa. ~ion of duty uzembe mkubwa, kutowajibika, kutotimiza wajibu.